Prof_Adventure_guide
Member
- Dec 21, 2023
- 96
- 183
Grow up manHivi kwa nini demu ukimpiga pipe analalamika kuwa una muumiza alafu ukitoa analalamika tena eti mbona umetoa
Prof upo,? Sioni ukijibu chochote au tufanye harambee ya kukununulia bando,?Habari zenu wana janvi
Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii.
Nitajibu maswali yote kwa umakini na uelewa hivyo nawakaribisha kwa maswali kuanzia sasa!
Karibuni katika uwanja wa maswali.
Huu ni utalii wa FARAGHA sio wa ndani wala wa nje, 😂Hivi kwa nini demu ukimpiga pipe analalamika kuwa una muumiza alafu ukitoa analalamika tena eti mbona umetoa
Upotevu wa mali za uma tuNn maoni yako kuhusu Filamu ya Royal Tour Starring Rais Samia Suluhu Hassan?
Livingston ipo barabara ya kiparapara maeneo ya kwihara, niliwahi kutembelea hilo eneo la makumbusho mwaka 2008 lakini kwa maoni yangu nafikiri ni kwasababu serikali huwa inaangalia sana maeneo ambayo yanawaingizia kipato auemaeneo ambayo ni maarufu sana katika sekta ya utalii ndio wanaipa thamani so Livingston huwa haijulikani sana sana nafikiri hivyo ndio sababu na pia kumbuka Livingston ni makumbusho yenye siri nyeti sana na kama uliskiliza historia vizuri basi utagundua kuwa Livingston ni kama sehemu ya siri licha ya kuwa ni makumbusho ya Dr David Livingstone pale kuna maandaki katika ile sehemu ya barabara ya kuelekea kiparapara, hivyo lile eneo ni lakijeshi zaidi.Nilitembelea Livingstone tabora mwaka 2021 pametelekezwa sana shida nini
Bajeti italingana na nahitaji yako ikiwemo na siku unazohitaji kukaa katika hifadhi ya taifa Serengeti na maeneo utakayopendelea kuyafika zaidiNataka kwenda Serengeti, manyara au tarangize, niwe na bajeti ya sh ngapi kwa safari kama hii na nisiku ngapi?
Ndiyo, nina habari kuhusu Hifadhi ya Selous kupitia Morogoro. Hifadhi ya Selous ni moja ya hifadhi kubwa zaidi Afrika, ikiwa na wanyama wengi porini kama vile tembo, simba, na twiga. Hifadhi hii iko karibu na Morogoro, mkoa uliopo Tanzania. Ikiwa una maswali zaidi au unahitaji habari zingine kuhusu Selous au Morogoro, tafadhali niambie.Unajua nin kuhusu selous game reserve kupitia morogoro
Pole kwa kukosea, bei niliyotaja ni kutokana na kukodi gari pekee, hivyo unahitaji kujitegemea kamera na mwongozaji wako. Bei za huduma zinaweza kutofautiana kulingana na mahitaji na vigezo mbalimbali. Kuhusu uchumi wa Watanzania, ni vyema bei zizingatie uwezo wa wananchi ili kuwafanya wengi wapate fursa ya kufurahia huduma bila kuwa mzigo kwao.Ulisema kukodi gari ni 600k hapo ni gari pekee msos nijitegemee cameraman wangu yaani gari pekee600? Ni kwamba hamuujui uchumi wa watanzania ama makusudi haya?
Mfano nikiwa hifadhi ya seregeti nje na kuangalia wanyama nitapata burudani gani zingine?
Nikiwa na gari yangu narusiwa kuingia nayo hifadhini? kama siyo kwanini?
Mwisho mbususu zipo za kitalii au hadi niwe na kibali?
Siku zinaanzia ngapi na siku hizo bajeti ni sh ngapBajeti italingana na nahitaji yako ikiwemo na siku unazohitaji kukaa katika hifadhi ya taifa Serengeti na maeneo utakayopendelea kuyafika zaidi