Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

mkuu, hizo mboga umenikumbusha home kabisa... Hivi Ntini bado zipo? Wale wadudu ni watamu balaa

TABORA HOME SWEET HOME
 
Kupanga bado ipo ila Lukula haipo kabisa kulikuwa pia na mapera mengi sana mfulu nsada nsalansi nsungu matoo mantonga haya yote ni matunda ya porini
Ntonga, mpundu, matopetope, ndati, mfulu, mbuguswa, matunda kamasi,
 
Gari anaikimbiza anaingia kwenye bonet ya gari anatokeza kwenye siti anawagonga wote
I
Jombaa unafahamu lkn structure ya gari ilivyo from Bonet to interior?

Hebu nisaidie kueleza huyo mnyama from Bonet anapitia wapi ili aibukie kwny seat?
 
Kwa sasa hivi miundo mbinu iko vizuri
 
mkuu, hizo mboga umenikumbusha home kabisa... Hivi Ntini bado zipo? Wale wadudu ni watamu balaa

TABORA HOME SWEET HOME
Si useme tu mchwa kwanini unatumia lugha ambazo hazieleweki ?
 
Hata mimi nilioa tabora wanapenda sana ushirikina,kila kitu kinachotokea lazima amuulize mganga jinsi ya kufanya,kiufupi maisha ya wanyamwezi na wazaramo hayatofautiani
Aaah weee usitudanganye..nina mtoto huko tutuo na hao waarabu wenu, sikonge nina jamaa yangu huko kwao mambo aliyonieleza ya huko hapa wala usiwatetee mkuu.
 

Kwa hizo mboga zao kuu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…