Niulize chochote nitakujibu

Niulize chochote nitakujibu

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home

Maswali yawe mafupi mafupi
 
maswal mafup mafup yapoje ?

Yana sifa gan ?

Yalianzishwa na nan ?

Kwa nn yapo ?

Hivi unadhan madhara ya kutokuwepo maswal mafupi ni nini ?!

Na faida za maswal mafupi ni zipi ?!

Point tano tano kwa kila swali
Kwa kifupi maswali mafupi

1,ni mepesi

2,huchukua muda mfupi

3,hueleweka

4,hayachanganyi wasoma komenti

5,Ni rahisi kufanya evaluation
 
Masuali mafupi lakini msambwanda mrefu.

Suali langu = Kati ya handsome lakini kilaza na sura mbaya lakini smart yupi utachagua?.


Ndukiiiii
 
Kwa kipindi hicho Nyerere na Karume waliona mabepari na warabu akina Mohammed Shamte walkuwa tishio baada ya mapinduzi ndo maana wakaungana shuta ili kulinda mapinduzi
Sabab ya kuuliwa karume ni nini

Maswal ya theoretical physics unaweza?!
 
Back
Top Bottom