Niulize chochote nitakujibu

Ni ukweli Mungu aliumba vitu vyote siku sita ya saba akapumzika?
 
Yapo kwa ajili ya kulainisha njia na ukikuta hayapo hujaniandaa vya kutosha
Binafsi napenda nikiingia room na mwanamke nikute ashajiandaa kisaikolojia kwa anachoenda kukifanya kiasi cha kumfanya awe ameloa sehemu husika, kuna wengine husema kabisa "staki niandaliwe mda mrefu" wengine "tukifika tu mi nataka dushe kuandaliwa baadae"
Unahisi kwanini wanawake wa siku hizi wengi wenu mnapenda kuandaliwa zaidi kuliko kujiandaa wenyewe? Mfano mwanaume wakati mnaenda eneo la tukio yeye tayari mnara unasoma bila kuandaliwa.
 
Okay, hizi asilimia 50 ulizonipendea zimechangizwa na nini?
Nini kilichokuvutia kutoka kwangu hadi ukanipenda kwa 50%
Kwa kawaida upendo kwa binadam yoyote upo 50, sasa kadri mnavyozidi kufahamiana,kuzoea unapanda ,hata kama unachukiwa kiasi gani na mtu ukifa lazima atasononeka, hiyo sio kwamba alikuwa zero alikuwa 50 ndo maana amesikitika
 
Nimetokea kumpenda sana Kajala Masanja.Ana miguu ya bia na hips za haja.Nifanyeje ili nipate walau mechi ya kirafiki nae?
Mtafute,mwambie hisia zako kwake
 
Una kitu gani adhimu ambacho pengine kinakupa mamlaka ya kujichagulia mwenza na kujipangia sifa hizo zote
Kila mtu ana upekee wake ndo maana mtu ni mmoja tu hapa ulimwenguni akifa ndo ameishia hapo
 
Kwahiyo sasa hivi hauna uhusiano na mwanaume yoyote? Huoni kuwa na wewe unamatatizo ya kutaka kuolewa bila ya kutojiandaa?
Sina kwa sasa,kuolewa lazima ujiandae na lazima umchunguze vya kutosha muoaji
 
Kwa kawaida upendo kwa binadam yoyote upo 50, sasa kadri mnavyozidi kufahamiana,kuzoea unapanda ,hata kama unachukiwa kiasi gani na mtu ukifa lazima atasononeka, hiyo sio kwamba alikuwa zero alikuwa 50 ndo maana amesikitika
Kwahiyo tuseme upendo wako kwangu upo normal[emoji4]
 
Wanawake tunatofautiana kihisia

Ni kweli wengine wanadai usimwandae ila wakati wa kusex mchukue muda mrefu ndo anaenjoy

Wengine wanasema lazima umuandae ili njia iwe laini na mwili uwe tayari kufanya kazi ile

Wanawake hisia zetu zipo mwilini,hasa anapopapaswa na maneno ya kimahaba ambayo unakuwa unamwambia, tofauti na mwanaume hisia zake zipo machoni,akiona sehemu ya siri au maeneo Fulani ya mwanamke ubongo unapata taarifa mnara unasimama ghafla iwe faragha au mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…