Basi sinto uliza na ebu nibaki kuwa msomaji tuUliza hapa utajibiwa
Ndio,nitasema lazima nikuchunguze,lazima nipate muda kukufaham,sio huko mbeleni nianze kujutiaAcha kudanganya mwanamke huwa hamchunguzi muoaji labda awe anadate na wanaume wengi na ikatokea kila mmoja anataka kutoa posa, We nikija hapo tukawa katika mahusiano ndani ya miezi 2 tu nikakwambia nataka kukuoa utasema nikusubiri unichunguze?
Ili kuimarisha ulinzi na usalama dhidi ya vitisho vya mabepari
Unamaanisha Mestruration period ?Naruhusiwa kuuliza swali MP...??
Ndio,nitasema lazima nikuchunguze,lazima nipate muda kukufaham,sio huko mbeleni nianze kujutia
Hivyo vingine inategemeana na nini kinakufanya ufanye hivyo,mfano,uwongo unaweza ukaepusha madhara yastokee au yakasababisha madhara ,kwa hiyo hayo hutegemeana na hali iliyopo kwa muda huoJapo kuwa huo ni udhaifu ila si kwa swali langu hilo.Namaanisha madhaifu yako wewe kama kwa binafsi yako ?
Mfano,wewe sio mchoyo ? Wewe sio mshirikina ? Wewe sio muongo ?
Nenda kanisaniLeo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home
Maswali yawe mafupi mafupi
Dahhh....Unamaanisha Mestruration period ?
Pole sanaDahhh....
Nilitaka kusema PM...teh
Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home
Maswali yawe mafupi mafupi
Kwaiyo ambao hawana tako kama lako inawaathiri nini katika mahusiano?Linasaidia unapokuwa kwenye mahusiano,kushape umbile lako kuwa tofauti na wengine
Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home
Maswali yawe mafupi mafupi
Mimi nina hivyo vigezo vyote kasoro kwenye starehe ya ngono, unaweza kuwa na mimi huku ukivumilia nibadilike gradually? [emoji23]Handsome
Mcheshi
Mkarim
Mwenyehuruma
Anayejua maisha
Asiyependa starehe ya ngono na pombe
Awe tayari kupima HIV
Pesa kila mtu anatafuta
Amtake huyo nani?Inategemeana na mpendaji anataka nini na kwa nini amtake huyo