nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Umewezaje kujua mambo mengi mpaka unasema tukuulize chochote unaweza kutujibuKama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Umewezaje kujua mambo mengi mpaka unasema tukuulize chochote unaweza kutujibu
Sawa nimekuelewa mkuu...Changamoto za maisha na shauku ya dhati ya kujua mambo,na uweZo mkubwa wa kuchanganua mambo
Sawa nimekuelewa mkuu...
kwanini huko kibiti kuna mauji sana
Je ni kweli diamond anatumia ndumbaKama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Je ni kweli diamond anatumia ndumba
Sijawahi....ila nilikuwa na mpango huo,ilikuwa mwaka 2000 nikiwa darasa na saba,kilichonifanya nishindwe ni ulinzi uliokuwepo,nilifail darasa la saba nadhani mawazo yakufikiria nondo yalidhid nikasahau kutumia akili yangu
Mafanikio yake yako katika nini kama huamini ni kwenye ndumbaNi jambo la ndani kulizungumzia ila mara nyingi sisi watu wa hali ya chini tunaamini sana kwenye mambo ya kishirikina au nguvu za giza...hasa kwa umri wake hilo jambo pengine zaman sasa au baadae atakuwa amewahi kulifanya...nashindwa kusema moja kwa moja maana siamini sana kwenye mafanikio ya ndumba
Hapana sio kweli....wengi wanaweza kuchukuliwa na pesa lakini sio wote,...kuna wengine wanahitaji mapenzi ya dhati na ukitumia pesa unamkosa,jiulize wenye pesa tayari inakuwajejee,ni kwelii unaweza kumchukua msichana yoyote kama tuu unapesa??
Kuna bond ambayo Mungu ameiweka haielezeki...mapenzi yale ni beyond our normal thinking,yaan kifupi hata mama mwenyewe hawez kijicontrol hata mwanae afanyeje hata aacha kumpenda,vinginevyo yasiwe mapenzi au unafikiHivi upendo wa mama kwa mwanae una sababishwa na nini,yani ni kipi chenye kumfanya mama na upendo kwa mwanae?
Sina uhakika na hiyo idadi ila naamini kuna watu wanaojua karibia kila kitu,ila sio vyote....kama wangekuwa wanajua vyote wangeweza kuumba binadamu wao...au wangetengeneza damu from the start,hili linamaanisha hakuna watu wanaojua kila kitu,ila tumejaariwa kujua mambo yanayotuzunguka na sio tusiyoyaona.Dunia hii inasemekana ina watu mia wanaojua na wanaoweza kufanya kila kitu kuna ukwel kiasi gan?kama ni kwel naweza kuamin unaweza jibu kila swal ila kama hakuna ss ww utatujibu vip kuhusu kila kitu?