Barackachess
Senior Member
- Sep 1, 2018
- 156
- 122
Leo nipo hapa kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye modeling au ni models wanataka kwenda kimataifa. Jina langu ni Blessing Chess nafanya kazi THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE modeling aagency iliyopo uingereza.
Angalizo: Sipo hapa kuwasaidia mjiunge na THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (hapana) nipo hapa kuwasaidia endapo utahitaji njia au namna ya kufikisha ndoti zako kwa mawazo na ushauri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] we swali lako halihusiani na madaMe naomba kufahamu hili; kwanini mamodo wengi wa kiume wanahusishwa sana na mapenzi ya jinsia moja/ushoga,??nini kinapelekea/kuleta hali hii katika tasnia ya modelling???
Umeshaanza....jamaniiiii
Model bora ni yule ambaye ana PASSION na anapenda kazi yake. Kuna mambo fulani ambayo kila model anahitajika awenayo ili ufanikiwa na uwe na muda mrefu katika sekta hii.