Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Kuna group la telegram la geos wote Tanzania waweza kujinga ni nondo za maana uwa zinajadiliwa.karibu
Mkuu ungefanya kushare link ya hiyo channel/group hapa ili tukibonyeza itudirect huko na kujoin immediately.
 
Hata FACEBOOK kuna baadhi ya magroup ya Geologist na ma- geotechnicians, kwa mfano lipo hili la GEOLOGICAL SOCIETY OF TANZANIA, though halipo active sana..
 
Kindly asking
Wapi kwa hapa dar naweza kununua geological tool kit, i.e hammer,lens,brunton compass n.k.
 
kuna yoyote aliyeungwa kwenye group la telegram??
 
Group lipo ila lazima ukubaliane na rules za hilo group. Kwasababu lina watu wenye heshima wengi
hilo halina tatizo kabisaa...maana ni group la professionals,cha msingi nikuzifuata hizo rules...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…