Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Mgandamizo wa hewa unatokana na nin? najua utasema Nothern pole na Southern pole pana umbali kutoka kwenye jua ukilinganisha na Equtorial low pressure. Lakini inasadikika angani kunaupepo zaidi ya hapa karibu! KWANINI sababu ya upepo isiwe Rotation na Revolution ya dunia nikichukulia mfano wa upepo unaosikika wakati mtu anapokuwa kwenye usafiri!
 
Nimefurahi kuona hii thread ,jf inatakiwa ianzishe pia jukwaa la rasilimali madini
 
Kumbe na wewe ulikremisha! Kama baba nanii!
Bac kwa tz ya vwnd itkuw ni ndot!
 
Naomba kujua definition of pillar in mining methods [emoji101]
Pillar kwa tafsiri ya haraka ni nguzo. Pillar katika mining ni nguzo inaoyoachwa wakati wa kuchimba ili kusupport roof rock isporomoke. Pillar hutumika katika underground tu. Na njia hii huitwa room and pillar mining method. Ni njia moja wapo ya underground mining. Hapa unachimba inafika sehem unaacha mwamba ili usapoti mwamba wa juu usiporomoke, unachimba tena, unaacha mwamba. Sehem zilizochimbwa ndo zinaitwa room, zinazoachwa kusuport roof ndo pillar. Hence room and pillar. Chukulia mfano rahis wa Nyumba. Vyumba na Kuta.
 
Hata whatsapp lilikuwepo likajaa kwahiyo isingewezekani ku add mtu mwingine, ndo wakaanzisha group la telegram nipatie namba yako nikuadd ni kwa ajili ya geos woote Tanzania

0759000732 mkuu naomba uniadd katika group huku telegram.

+213673723423 kwa group la whatsapp.
 
Bro wako alisoma Geo ya wa kina dada+vil*za ambayo ni Bsc with Geo na sio Bsc in Geo ya PCM pekee.
Ina maana tunaosoma PGM hatuwezi kusoma BSC IN GEO, wkt geography ndio msingi wa programme ynyw, we jamaa ni vipi kwani, hkn kitu cha wakina dada na kama unabisha soma BSC WITH GEO ukaisome namba vzr....
 
Ina maana tunaosoma PGM hatuwezi kusoma BSC IN GEO, wkt geography ndio msingi wa programme ynyw, we jamaa ni vipi kwani, hkn kitu cha wakina dada na kama unabisha soma BSC WITH GEO ukaisome namba vzr....
Aliyekwambia msingi wa Geology ni Geography amekudanganya, simple as that mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…