Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Kama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.

Asanteni sana
View attachment 371087
Mkuu samahani
Wewe ni geologist so hapa Tanzania unafanya kaz gani

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mkuu samahani
Wewe ni geologist so hapa Tanzania unafanya kaz gani

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kazi ni nyingi sana, just be specific unataka kujua nini

Private geologist
 
Kama paleontology inakuaje io kazi zake

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Geology ina branch nyingi sana, kama we ni geologist i hope unaelewa,

Kama unaongelea kazi ambazo unaweza kufanya kwa kusoma paleontology peke yake zipo. ila geology yenyewe inategemea brach zote kuweza kufanya kazi.

Nimekusoma mkuu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kama paleontology inakuaje io kazi zake

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Zipo nyingi tu oil and gas industry coz unafanya biostratigraphy na fossils nying unadeal nazo,pia teaching na museum curation
 
Mimi naomba kuuliza ..je kwa tuliosoma EGM Na matokeo yakawa hivi Economics_B ..GEOGRAPHY_D MATHEMATIC_E ..twaweza soma hii kitu
We apply tu, as long as una vigezo.
Kupata na kukosa hiyo ni case nyingine
 
Mimi naomba kuuliza ..je kwa tuliosoma EGM Na matokeo yakawa hivi Economics_B ..GEOGRAPHY_D MATHEMATIC_E ..twaweza soma hii kitu
Vigezo unavyo, labda competition ndio itaku sort out..

Cha msingi angalia admission capacity ya chuo then ji evaluate kutokana na matokeo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana aliona mica, madini ya silicate ambayo yanaweza kuonekana katikati ya miamba mingine. Muonekano wake ni kama vioo vilivyobanwa pamoja (sheets). Angalia picha hii,

Attachments

  • mica.jpg
    43.9 KB · Views: 175
Nataka nijifunzi kuhusu miamba na madini. Naomba msaada wako tafadhani.
 
Hii shule inayohusu miamba ndio nataka kuijua. Naomba tuwasiliane ili niweze kujua zaid kuhusu miamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…