Niulize swali lolote linalohusu vimelea vya magonjwa na kinga ya mwili

samahani

hilo sina utaalamu nalo. mimi niko kwenye vimelea na kinga ya mwili. hilo naomba umwone daktari wa kawaida atakuongoza wa kumwona. unaweza kwa daktari wa kawaida hospitali yoyote ili akuongoze kwa specialist
Asante mkuu kwa maelekezo
 
Asante sana kwa majibu.

Magonjwa gani huwa yanaua kwa mnyororo ukiacha UKIMWI (Yaani kama baba alikufa kwa kifua kikuu basi familia yake huwenda ikawa kwenye hatari ya kupata ugonjwa huo)

Mkuu me nadhani magonjwa yote ya kuambukiza hasahasa kwa njia ya hewa ni hatari kwa familia ushauri wangu mmoja anapopata ni vema kama familia mkapime wote na kutibiwa kama inawezekana
 
Magonjwa ya kurithi ndiyo nazungumzia.
Mkuu me nadhani magonjwa yote ya kuambukiza hasahasa kwa njia ya hewa ni hatari kwa familia ushauri wangu mmoja anapopata ni vema kama familia mkapime wote na kutibiwa kama inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…