Kwa nini nikiangalia angani naona rangi ya blue?
Kwa nini maji ya bahari yanaonekana pia ni ya blue ukiwa mbali?
Ni kitu gani kinasababisha ule upinde wa mvua na zile rangi kwa nini ziko saba?
Kwa nini maji ya bahar yanakuwa ya chumvi lakini ya kwenye mabwawa yanakuwa ya baridi?
Wamarekani wametuma kifaa kwenda pluto kukusanya taarifa ya hiyo sayari, mpaka sasa kimefikia hatua gani na ni taarifa nyingi kiasi gani zimeshafika?
Wamewezaje kutengeneza ile international space station na inawezekana vipi kuelea kwenye orbit bila kuanguka?