bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Kwa jinsi ilivyolimwa mwaka huu hata ikifika peak,yaani mwezi wa 2 haiwezi fika 250,000 kama msimu jana.Ila unavyoangalia inaweza kupanda mzee wangu
Kiongozi uko shamba la vitunguu? Kama ndio ningependa tuwasilianeHapa ambao bado tuko shamba tunaweza uza adi arobaini mwaka huu
Ndiyo kiongozi wanguKiongozi uko shamba la vitunguu? Kama ndio ningependa tuwasiliane
Kwa jinsi ilivyolimwa mwaka huu hata ikifika peak,yaani mwezi wa 2 haiwezi fika 250,000 kama msimu jana.
Ila inaweza fika 100,000 na kuendelea.
Asante mkuu uendelee kutujuzaUnahitaji kibali mkuu kwahiyo hata ukipata soko bado inabidi ushughulikie kibali ili uweze kusafirisha Na kuuza huko otherwise upate mtu mwenye kibali aje kuchukua kwako mpeleke au upate Mganda aje kuchukua mzigo shambani kwako.
Nipo Kwenye mchakato wa kufuatilia soko la huko Ila mpaka sasa Hiyo ndio taarifa niliyo nayo, bado naendelea kufuatilia
Mkuu we unatumia mbegu gani za vitunguu, za asili au dukani?Hapa ambao bado tuko shamba tunaweza uza adi arobaini mwaka huu
Za dukaniMkuu we unatumia mbegu gani za vitunguu, za asili au dukani?
Na mpango wa kulima vitunguu mwakani lakini naziogopa sana mbegu za dukani kuna jamaa yangu alinunua halafu hazikuota kabisa nimeshuhudia mara,watu wanasema mbegu za kienyeji zipo vizuri zaidi na ni bei poa, me ni mzoefu sana wa kilimo cha mpunga ila nataka mwakani nilime tena mpunga na vitunguu, ila sina uzoefu na vitunguu, naomba nielimishe ndondoo mbili tatu hasa soko lake na uanikaji baada ya mavuno inakuwajeZa dukani
Mkuu siyo kweli kwamba hazioti, yaani mimi nimetumia kilo tatu tu kwenye hekaNa mpango wa kulima vitunguu mwakani lakini naziogopa sana mbegu za dukani kuna jamaa yangu alinunua halafu hazikuota kabisa nimeshuhudia mara,watu wanasema mbegu za kienyeji zipo vizuri zaidi na ni bei poa, me ni mzoefu sana wa kilimo cha mpunga ila nataka mwakani nilime tena mpunga na vitunguu, ila sina uzoefu na vitunguu, naomba nielimishe ndondoo mbili tatu hasa soko lake na uanikaji baada ya mavuno inakuwaje
Hiyo ni red Bombay na kilo ni 70,000/=, hivyo heka inakosti 210kNi mbegu ya aina gani na kilo 3 ni bei gani?
Nafikiri Hawa wanaouza mbegu hizi wengine sio waaminifu kabisa mbegu zinakuwa zime expiry, labda nitafute wakala mkubwa wa mbegu anaye elewekaHiyo ni red Bombay na kilo ni 70,000/=, hivyo heka inakosti 210k
Uko wapi mkuu, moshi huwa kuna mhindi mmoja anakuuzia mbegu anakupa na guarantee, zisipoota atahusika, anasifika kwa kuuza mbegu poaNafikiri Hawa wanaouza mbegu hizi wengine sio waaminifu kabisa mbegu zinakuwa zime expiry, labda nitafute wakala mkubwa wa mbegu anaye eleweka