Ndio mkuu wanalima hukoKibati kama unaenda turiani au siyo?
Kuna jamaa yangu alisia Neptune F1 kwa uwiano wa kilo 2 kwa heka na ziliota vizuri kabisa, lakini bado hazikutosha.Yes mbegu zote za dukan ni kilo moja kwa eka moja au mara nyingine hata hata kilo moja inabaki.
Bei ya KitunguuBei ya kitunguu maji na kitunguu swaumu Dar sahivi imefika sh ngapi?? Kwa anaejua msaada.
Kibali unaweza pata kwa madalali wa magari.Sababu nimesafirisha dagaa bila kibali wala nini,tulikua tunalipia gunia 1 sh 500/= kwa mwenye kibali.Tafuta market mkuu.Unahitaji kibali mkuu kwahiyo hata ukipata soko bado inabidi ushughulikie kibali ili uweze kusafirisha Na kuuza huko otherwise upate mtu mwenye kibali aje kuchukua kwako mpeleke au upate Mganda aje kuchukua mzigo shambani kwako.
Nipo Kwenye mchakato wa kufuatilia soko la huko Ila mpaka sasa Hiyo ndio taarifa niliyo nayo, bado naendelea kufuatilia
Uko vizuri mkuu,vp kuhusu Kampala ?Bei ya Kitunguu
Kongowea Kenya: 5,000KSh./Gunia100Kg
Kawangware Kenya: 103,200TSh./Gunia120Kg
Kariakoo: 100,000TSh./Gunia100Kg
Lushoto: 110,000TSh./Gunia100Kg
Kirumba: 120,000TSh./Gunia100Kg
Arusha: 80,000TSh./Gunia100Kg
Makambako: 90,000TSh./Gunia120Kg
Morogoro: 90,000TSh./Gunia100Kg
Soweto: 74,000TSh./Gunia120Kg
: 146,000TSh./Gunia120Kg
Mwanakwerekwe ZnZ: 110,000TSh./Gunia120Kg
Dodoma: 70,000TSh./Gunia100Kg
Mombasa ZnZ: 120,000TSh./Gunia120Kg
Hizo bei ni kwa mujibu wa TAHA tarehe 28/11/2016
Balton arusha mkuu...wana mbegu bora na nzuri...unapewa na msaada jinsi ya kutunza zao lako likupe mazao mardadiNafikiri Hawa wanaouza mbegu hizi wengine sio waaminifu kabisa mbegu zinakuwa zime expiry, labda nitafute wakala mkubwa wa mbegu anaye eleweka
Kibali unaweza pata kwa madalali wa magari.Sababu nimesafirisha dagaa bila kibali wala nini,tulikua tunalipia gunia 1 sh 500/= kwa mwenye kibali.Tafuta market mkuu.
Na asanteni mlio haribu uzi wangu na kuja kubishania jinsi ya kulima kitunguu na ipi mbegu safi,wakati threads za mada kama hiz0 zinapatikana humu.
Ahsante sana kwa mrejesho ndugu yangu Mungu akubariki sana.Bei ya Kitunguu
Kongowea Kenya: 5,000KSh./Gunia100Kg
Kawangware Kenya: 103,200TSh./Gunia120Kg
Kariakoo: 100,000TSh./Gunia100Kg
Lushoto: 110,000TSh./Gunia100Kg
Kirumba: 120,000TSh./Gunia100Kg
Arusha: 80,000TSh./Gunia100Kg
Makambako: 90,000TSh./Gunia120Kg
Morogoro: 90,000TSh./Gunia100Kg
Soweto: 74,000TSh./Gunia120Kg
: 146,000TSh./Gunia120Kg
Mwanakwerekwe ZnZ: 110,000TSh./Gunia120Kg
Dodoma: 70,000TSh./Gunia100Kg
Mombasa ZnZ: 120,000TSh./Gunia120Kg
Hizo bei ni kwa mujibu wa TAHA tarehe 28/11/2016
Ha ha ha ha, wazoe kaka hii tabia mbona ipo sana, kuna jamaa mmoja nakumbuka alifungua thread ya kuomba msaada nini sijui sikumbuki vizuri, aiseh yan yaliyokuwa yanajadiliwa mengine na kichwa cha mada kingine kwahiyo wazoe ndugu zako ndivyo walivyo, ila ningewashauri kwa anaetaka kujua kuhusu mbegu bora ya kitunguu apitie kwenye uzi ule unaohusu maswala ya kilimo kuna mambo mengi sana yamejadiliwa kuhusu mbegu hope mtaambulia kitu tusiwe wavivu kusoma haya mambo yalishajadiliwa kipindi cha nyuma.Kibali unaweza pata kwa madalali wa magari.Sababu nimesafirisha dagaa bila kibali wala nini,tulikua tunalipia gunia 1 sh 500/= kwa mwenye kibali.Tafuta market mkuu.
Na asanteni mlio haribu uzi wangu na kuja kubishania jinsi ya kulima kitunguu na ipi mbegu safi,wakati threads za mada kama hiz0 zinapatikana humu.
Mkuu yaani kitunguu kimoja tu nacho utafute soko la nje?
Hukunielewa mkuu nilikuwa namaanisha nini?Kwani heka moja ya kitunguu si inaingia kwenye fuso moja? Sasa mzigo wa fuso moja unashindwaje kusafirishwa Kampala? Hata akisema anapeleka Darful la muhimu ni maslahi.
Nenda balton Changombe dar biashara na mswahili huwa hazina uhakika wao wana laana ya kupiga tu ndo wajuacho wanajali kupata hela ya Leo tu,na km zikiota wanaweka chache pia hawachelewi kukubandika.Huyo mhindi ndio anauza bei hiyo au?ukienda kariakoo kopo la gram 50 ni sh 6000 halafu chance ya kuota ni ishu
Hukunielewa mkuu nilikuwa namaanisha nini?
Wamechafua uzi? Hakuna lililokusaidia kwenye hayo?Kibali unaweza pata kwa madalali wa magari.Sababu nimesafirisha dagaa bila kibali wala nini,tulikua tunalipia gunia 1 sh 500/= kwa mwenye kibali.Tafuta market mkuu.
Na asanteni mlio haribu uzi wangu na kuja kubishania jinsi ya kulima kitunguu na ipi mbegu safi,wakati threads za mada kama hiz0 zinapatikana humu.
Unaona,, na wewe unarudia makosa yale yale! Hivi hili neno "Kitunguu" halina wingi? Hebu msiharibu lugha yetu mwanana ya Kiswahili mpaka imetinga AU siyo mchezo! Tujitahidi kuzungumza Kiswahili sahihi ili tusije tukaulizwa "huko shuleni huwa mnaenda kufanya nini?Fafanua tukuelewe lakini nahisi ulikuwa unambeza mdau kwa kutafuta mteja wa kitunguu nje ya nchi.
Kamanda msimu wake umeishaumeisha kwa sasaWakuu,
Kutokana na kufurika kwa soko la ndani la kitunguu kwa msimu huu,nimegundua hakuna namna zaidi ya kupeleka nje ya nchi.
Kampala inasemekana wana bei nzuri ila tatizo sijui lolote hapo sokoni.Mtu mwenye uzoefu au unamjua mwenye uzoefu naomba tuwasiliane.Mzigo uko Arusha unategemea kutoka mid December, gunia 100+
Shukrani.
Sinunui tena mbegu za Balton.Hasara!!!!Kwa dar, balton wanauza mbegu nzuri tu, hawababaishi tena bei ni poa kabsa