Niuzie biashara ya duka la vipodozi au duka la mahitaji ya nymbani

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
578
Reaction score
575
Habari za kutwa wana JF?

Nahitaji kununua biashara mojawapo kati ya hizo. Hiyo biashara inatakiwa iwa dar tu bei ni maelewano kutokana na duka lenyewe.

Kwa mawasiliano karibu PM

Asanteni sana
 
Kwa hali ya uchumi ilivyo nunua LA matumizi ya nyumbani ambalo pia unaweza uza na baadhi ya vipodozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…