Habari zenu wakuu,
Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari hapo juu. Mimi niko tayari kununua biashara yako/ ya mtu yeyote. Iwe yenye vigezo vifuatavyo.
1. Iwe na uwezo wa kutengeneza a net profit of atleast Tsh. 100,000/= everyday au kama zaidi ni vyema pia.
2. Iwe jijini dar es salaam
3. Iwe ni biashara ambayo inaweza kujiendesha yenyewe without my maximum supervision or my 100% presence.
4. Itakua vyema kama utanipatia the cost of capital na mchanganuo mzima of that business.
5. Isiwe biashara ya usafiri i.e taxi, daladala or bajaji.
If its a confidential business idea waweza ni PM
Nakaribisha sana mawazo yenu.
Thanks in advance.
#Barikiwa