rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Hiyo laki 500,000 inatosha kununua tablet pc ya HP mpya toka China, nenda pale Sinza opposite Afrika Sana, utaona duka kubwa kioo kwa nje utaona ma TV makubwa ya plasma, ingia ndani utaona pc zao mpya na used kutoka China.
:glasses-nerdy:Am Watching You,.Nawashukuru sana sana nimeipata laptop mpya kutoka kwa muungwana ambaye hakutaka nimtaje jina lake alikuwa na yake amefanya kuniuzia mpya kwa kunisaidia kwa bei hiyo hiyo,lakini hizi source zote zimekuwa faida kwangu na labda kwa wengine.
Asanteni sana na sasa nimeanza kula mziki huku nikifanya kazi,JF pembeni na mengineyo.:violin:
RE.
Mkuu GM7 uliishawahi kujaribu,nimeishaliwa vipesa vyangu vingi kwenye BTB mpaka nikakata tamaa.Namshukuru aliyeniokoa leo kuipata.Angalia TBC1 BID TO BUY kila siku saa 5:40 usiku (11:40pm) zipo nyingi tu ni wewe na simu yako tu.
mkuu, kama unataka ya bei nafuu zaidi ninazo laptop used Pentium III
Dell Inspiron 4000
Windows XP
RAM 256
HDD 10 gb
CDROM- DVDR
Zina ghali nzuri kabisa. kama unataka kwa matumizi ya internet tu itakufaa
Bei zake ni poa sana kwa moja ni Tsh 30,0000/= tu ukinunua nne unapewa utapunguziwa nyingine kwa kununua kwa tsh 20,0000/=
Kama utapendzwa na sifa zake ni jibu nikutumie contact zangu.
mkuu hizo mbona kama zimekaa kichina?mkuu, kama unataka ya bei nafuu zaidi ninazo laptop used Pentium III
Dell Inspiron 4000
Windows XP
RAM 256
HDD 10 gb
CDROM- DVDR
Zina ghali nzuri kabisa. kama unataka kwa matumizi ya internet tu itakufaa
Bei zake ni poa sana kwa moja ni Tsh 30,0000/= tu ukinunua nne unapewa utapunguziwa nyingine kwa kununua kwa tsh 20,0000/=
Kama utapendzwa na sifa zake ni jibu nikutumie contact zangu.
Mkuu ungetoa specifications zake ungesaidia.l would like to have oneNitafute kwa namba hii 022 277 1316,nitakupatia toshiba au Dell kwa laki 3.5 hadi 4.
Ndo manufaa ya JF haya.Nawashukuru sana sana nimeipata laptop mpya kutoka kwa muungwana ambaye hakutaka nimtaje jina lake alikuwa na yake amefanya kuniuzia mpya kwa kunisaidia kwa bei hiyo hiyo,lakini hizi source zote zimekuwa faida kwangu na labda kwa wengine.
Asanteni sana na sasa nimeanza kula mziki huku nikifanya kazi,JF pembeni na mengineyo.:violin:
RE.
Nitafute kwa namba hii 022 277 1316,nitakupatia toshiba au Dell kwa laki 3.5 hadi 4.