Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Habari wana Jukwaa.
Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini:
Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/=
Hivo kama kipindi cha nyuma uliwahi kuwa na Modem za Huawei E153, E173, E303 au model yoyote ya ZTE au modem nyingine yoyote, unaweza kuniuzia uka top up ukanunua MiFi router.
Modem zile za ambazo haziingizi line kama ile ya zantel enzi hizo haitofaa kwa kazi yangu.
Ninaitaji modem 20, Offer yangu inaanzia 15,000/= kulingana na condition ya hiyo modem
Tuwasiliane 0753932250 au post picha yake hapa hapa na dau lako.
Asanteni

- Huawei
- ZTE