Bubolwa Chura
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 300
- 560
Sitaki vijana wa kariakoo waje na sound zao hapa...Yaani masharti yote kwa ki 120K chako not serious unataja simu kubwakubwa na kauri za kibabe kwa 120K.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza kidogoHuawei Maimang 4. Used nje ya nchi, 200,000/=
Mkuu specification za hiyo simu zikoje.. RAM, Memory, Inch za kioo ...
Unasemaje?Kihela mbuzi hicho unampiga nani mkwara?
Sina neno mkuu,nakurudishia tu mkwara.Unasemaje?
Poa nimekuelewa.Sina neno mkuu,nakurudishia tu mkwara.