J JEMEDARI .H. JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 341 Reaction score 63 Jul 27, 2014 #1 Wakuu naombe mwenye smarphone ya lak 2 aniuzie fasta
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,408 Reaction score 1,334 Jul 27, 2014 #2 Pita tigoshop kuna Huawei nzuri kuanzia 130,000
D dgratius JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 218 Reaction score 11 Jul 28, 2014 #3 : blackberry 9700 120
T Tanye Senior Member Joined Apr 9, 2014 Posts 107 Reaction score 18 Jul 28, 2014 #4 Ni pm nina blackberry curve kila kitu kipo poa kabsa
Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 248 Jul 28, 2014 #5 leta 180 nikupe C7 nokia
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Jul 29, 2014 #6 kwanini usiende kudaka vodafone katika vodashop (inauzwa 100,000tsh) au huawei kibao kutoka tigo shop? ukiongeza kidogo utapata nokia x hapo hapo tigoshop na ukiongeza 100,000tsh utapata nokia xl airtel shop.
kwanini usiende kudaka vodafone katika vodashop (inauzwa 100,000tsh) au huawei kibao kutoka tigo shop? ukiongeza kidogo utapata nokia x hapo hapo tigoshop na ukiongeza 100,000tsh utapata nokia xl airtel shop.
Tujisahihishe Tz Platinum Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,061 Reaction score 1,367 Jul 29, 2014 #7 JEMEDARI .H. said: Wakuu naombe mwenye smarphone ya lak 2 aniuzie fasta Click to expand... nipe hiyo hela nikupe laptop mkuu, ukipenda nicheki pm
JEMEDARI .H. said: Wakuu naombe mwenye smarphone ya lak 2 aniuzie fasta Click to expand... nipe hiyo hela nikupe laptop mkuu, ukipenda nicheki pm
chris rumanyika Member Joined Apr 19, 2012 Posts 21 Reaction score 9 Jul 29, 2014 #8 nokia lumia 900(window 8 phone) kwa laki 2 nauza nicall 0718 166060