Nivea shower gel inanifanya nakuwa mweupe

JimCarrey

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
214
Reaction score
124
Jamani mimi nikiogea sabuni ya aina yoyote ile hua natokwa na mba sana kichwani hasa ukizingatia sipendi kunyoa au kua na nywele fupi, Hivyo nikaamua kuanza kutumia shower gel kwa kuogea.

Kwakua mim ni mpenzi wa bidhaa za Nivea hivyo nikaamua kununua Shower gel ya Nivea lakini sasa ni wiki ya pili natumia. Sina mba tena kichwani lakini nashangaa nakuwa mweupe sana na sipendi nataka kua na rangi yangu asilia.

Msaada kama kuna wataalamu wa kizi vitu anisaidie aina ingine ambayo nitatumia na isiniharibie rangi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…