Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Na TheOriginaleast
Kama mwanamke/ mwanaume wako na hizo two line kwenye mkono wa kulia basi jua ni mtu mwenye bahati! Ukitembeanae lazima ufanikiwe! Yaani mambo yako yataenda! Ya kwake yatabaki pale pale kwa hiyo kama Ukifanikiwa basi msupport na yeye aenjoy matunda ya bahati yake! (hawa ni wanaotajirisha wenzao tu).
Kama nwanamke/ mwanaume wako anazo hizo two lines kwa mikono Yote Miwili basi utafanikiwa wewe na yeye atafanikiwa !!!! Hata mkwame vipi ipo siku mtatoboa!
Kama una line mbili mkono wa Kushoto !!! Wewe ni wa kupata madeal ya bahati ila pesa hazikai !!!! Zinakuja Na kusepa !!!!! Madeal yanakuja makubwa ila hutajiriki!
Kama demu wako anayo line 1 mikono yote miwili jiandae kufulia !!! Kupata matukio !!! Mikosi na matatizo kukuandama !! labda asiwe na hizo line ila awe na uvungu mkubwa wa miguu.