Niwangapi wanatamani kukutana na hawa wana jf?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,EL Toro,Ndibarema,Katavi,Bujibuji,Kituko,Mwasu,Mwanakijiji,Sister sisita,Rutashubanyuma,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Fixed Point,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,bht,Buchanan,Baba gft,Chauro,Daughter,Maralia Sugu,Paka Mweusi,Dreamer,Dem amsi,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Mchukia ufisadi,Da Sophy,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/doh.gif" border="0" alt="" title="Doh" smilieid="169" class="inlineimg" />Msanii,Safari_n_Safari, tafadhali tupo pamoja!!
 

Mbona hujaweka wanaCUF na CCM? hahahahahahhhh
 

Mi natamani kuwatia machoni hao tu!!!
 
Kaka

Siku nikikuona na sura yako lazima nifurahi 🙂
 
nikiwaona sitaona ladha ya kuchat nao hapa jukwaani. bora nibakie kizani kuwasiliana nao maana nisije nikakutana na mkwe bureeee
 
Kaka

Siku nikikuona na sura yako lazima nifurahi 🙂
Namimi kwani ninajua nitajifunza mengi kutoka kwako kwani ninajua wewe lazima utakuwa mwanazuoni:smile-big:
 

Hao wengine nikiwaona, nitawafanyia TEA party kwani nitakuwa na furaha iliyopitiliza... Huyo kwenye RED nooo!
 
Gud idea..mi napenda kukutana na wadau wote wa JF.



Kaka Lufunyo, hii avator inamwenyewe, na tunamjua, amekuruhusu kuitumia? au ndio wewe BOFLO, umebadili jina?
 
kiukweli mi na hamu na hawa hapa
 
Unaharaka na hasira mbona jina lako lipo??Peruzi vizuri!
 

Mimi huyo zaidi...ili ni-prove kama robot kweli au....:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…