Niwaombe Watanzania "yeyote anayepita jamii za kimataifa kutuombea njaa" tumuone ni mhaini

Viongozi wa Africa waache kutumia nguvu kuendesha nchi zao na watumie akili kwa maendelea ya jamii zao
 
Hahaha hapana tunawaombea njaa ccm sio watanzania.

Ccm hata mkifa wote pale bungeni watanzania hawataomboleza kwa taarifa yenu, tutafurahia watawala kuondoka.
 
Eti uchaguzi ulikuwa huru na Haki! Pambafu
 
Yule anaotoa macho kama "TAA ZA BENZI OLD MODEL" akiwa kwenye press na kujifanya anawakemea na kuwafokea wanao tufadhili misaada, ndio tumwone mhaini. Na yule aliokula € Million 27 za Covid-19.

Wanatutafutia kibinyo cha lazima kama taifa.
Nakuhakikishia kwa tabia zenu mtateseka sana miaka mingi bila kufulahi katika mioyo yenu hadi mtakapo iheshimu nchi yenu na kumuomba mungu awaondolee ushetani ulioko mioyoni mwenu.
Ibirisi kawafunga mpaka mmekua weusi mioyoni mwenu.
 
Tatizo lenu nyinyi mnadhani watanzania wote ni wajinga na wanaishi kwa siasa. Mnadhani mtapita kule na kule mkishawishi tuwekewe vikwazo tuwekewe vikwazo na sisi watanzania tuwatazame tu na turidhike kuwa tunawekewa vikwazo na tukishawekewa vikwazo tukae kuwapa nyinyi uongozi.

Kama miaka ya 1960 watu walikuwa wakifanya vurugu na baadae kusema tukae mezani tuzungumze tugawane madaraka, au mpite huko na kushawishi tuwekewe vikwazo tambue mazingira ya sasa si ya miaka ya 1960 na kamwe hatutakubali ujinga.

Changamoto zinaweza kuwepo lakini kama wananchi wanawaona nyinyi ni bora hakuna changamoto inayoweza kuwazuia wananchi kuwapa madaraka.
 

Nasema hivi, ww ni Mjinga mwenye uwezo wa kuandika propaganda kwa busara. Tunawashangaa hao wazungu kwanini hawaweki vikwazo haraka? Eti wananchi ndio wanatoa uongozi, 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi, maana hawana imani tena na box la kura. Mbali ya kwamba 2/3 hawakupiga kura, hata hiyo 1/3 bado ni ya kupika.

Kama hamuishi kwa kutegemea siasa kwanini msifute uongozi wa kisiasa, kisha tukabidhi nchi kwa jeshi tujiendeshe bila siasa? Hivi tunavyozungumza kuna barua na ushahidi mwingi tu huko kwa wazungu ili wachukue hatua. Huu upuuzi wako ungewapelekea walioko madarakani kwa kumwaga damu na kunajisi uchaguzi.
 
Mku kwa kauli zinazotolewa juu ya wahisani mara mabeberu Mara wanatjibia Sana.
Tukumbuke kwa maneno haya lazima watafute sababu ya kutokutoa misaada
 
Mku Cheyo, Merma,Lipumba,Mbatia,na wenyeviti wa vyama vingine.
Kwa tatizo liwe kwa Mbowe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…