Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu ana filimbi beganiWazeee sina mengii nachotaka niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school jinsi ilikuwaga.
Hapa ni bongo watu wapo darasani, nachocheka angalia vichwani mwao hao wanafunzi wana mawe ili asiangalie gear akati anaweka.
Nani alijifunza hibi gari?
View attachment 2276213
Wanafunzi wa nyuma na mbele wote wamekaa kwa mpangilio wa kumwona Mwl, hakuna mwanafunzi anayemtazama mwenzake mgongoniWazeee sina mengii nachotaka niwarudishe miaka ya 1945 mwone driving school jinsi ilikuwaga.
Hapa ni bongo watu wapo darasani, nachocheka angalia vichwani mwao hao wanafunzi wana mawe ili asiangalie gear akati anaweka.
Nani alijifunza hibi gari?
View attachment 2276213