ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno
Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu.
Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure
Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu
Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga yenye striker mahili kama Dube, Musonda na Mzize
Yanga yenye Azizi ki, Pacome, Max, mudathir
Na timu yetu ina Mpanzu, Ahoua, Chasambi na Mutale
Yanga ina kiungo Chuma kama Aucho na Abuya, Simba Kuna Okajepha na Deborah
Uzani sio sawa
Mabeki kama Job, Bacca, Yao, Boka
Wewe una kapombe, Malon, Hamza na shabalala
Kiukweli Simba kuwa bingwa kwenye ligi yenye wachezaji kama wa Yanga ni dharau kubwa Kwa ligi yetu
Nawasihi Simba wajipe miaka 3 ya kushuka kikosi chao na wala wasiwaze ubingwa
Yanga bingwa