The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,026
Ongeza moja kwa bill yangu,nipe location,ushindi ilikuwa ni lazima kwa lion.Mimi ni Yanga damu, so nimemaindi Simba kuqualify!
Tusameheane tu!
Acha nikapate kinywaji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hakunaga uzalendo kwenye Simba na Yanga... Labda tuwe kwenye vita ya uchumi[emoji23]Aibu Yako Mleta Mada Huna Uzalendo
HahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAisee ngoja nikalale tu maana mood ishaharibika.
Barafu la moto
Lipuli 1 ndala sc 0 (zuhura)Mimi ni Yanga damu, so nimemaindi Simba kuqualify!
Tusameheane tu!
Acha nikapate kinywaji!
Sent using Jamii Forums mobile app