Niwe na mpenzi wa aina gani

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
kama ni msichana ukiwa una date na mwanaume mdogo unajifeel unconfortable kwenye iyo relationship hata kama anakupenda, jamii nayo midomo juu

ukidate na mwanaume wa rika lako mwanaume anaringa ,unaumizwa regularly,yaani ni full mateso wewe ndo unapenda zaidi wewe ndo unashikilia penzi upendo toka kwa mwenzako ni wa kubahatisha,mnaishi kimachale machale any time unaeza kuachwa.

Ukidate na mwanaume mtu mzima hata kama unampenda hajiamini, jamii inakuchukulia kama unamchuna, yeye mwenyewe anaona uko kwa kitu flani pia unamsaliti lakini atakupenda.

Niambieni niangukie kipengele gani nitakuwa na amani?
 
mimi ni mzee wa miaka 53,...napenda kua na vibinti vidogo vya miaka twenty.........kama hautaji karibu uburudike nami
 
Somone a bit older...ila sio umri sawa na mzee wako!!
 
Mimi nakushauri ili usihangaishe akili yako uamue kuwa mtawa (sista) kabisaa.Ingawa mara moja moja unaweza kuwa kitoweo cha mapadri lakini haitakusumbua sana.
 
Mimi nakushauri ili usihangaishe akili yako uamue kuwa mtawa (sista) kabisaa.Iingawa mara moja moja unaweza kuwa chakula cha mapadri lakini haitakusumbua sana.
acha kutukana watumishi wa Bwana
 
Nitafute we might have a sweet deal
 
Unachagua sana angalia utaingia usijechukuliwa nakibabu au kisharobaro

nakushauri tofauti ya umri kati ya miaka 6 na9


ni ushauri tuuu
 
<br />
<br />
be with the one u truely love and he loves u back,young or old.whats age,age is just a number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…