Niwe na mpenzi wa aina gani

ukipenda ukapendwa hayo yote hautayaona.vumilia.matatizo yakizidi jua neema inakalibia.mia
 
Bora akuzidi aisee wakisema unamchuna na wewe waambie anakuchuna.
Katoto kadogo,.....mmmmh!
 
how old is usher raymond?his wife?
how old was bobby brown?his wife whitney?
how old is beyonce?his hubby?

age is nothing
 
Mimi nakushauri ili usihangaishe akili yako uamue kuwa mtawa (sista) kabisaa.Ingawa mara moja moja unaweza kuwa kitoweo cha mapadri lakini haitakusumbua sana.

Mkuu ya nn awe mtawa?
Ajaribu ku date na wanawake wenzake!
 
penzi haliangalii hayo uliyoyatja hapo juu bebii...wewe angalia tuu nafsi yako inakuelekeza wapi ipe roho kitu inataka
 
penzi haliangalii hayo uliyoyatja hapo juu bebii...wewe angalia tuu nafsi yako inakuelekeza wapi ipe roho kitu inataka
poa
poa poa
 
Mimi nakushauri ili usihangaishe akili yako uamue kuwa mtawa (sista) kabisaa.Ingawa mara moja moja unaweza kuwa kitoweo cha mapadri lakini haitakusumbua sana.
<br />
<br />
shindwa pepo mchafu!
 
tafuta kitabu fulani ambacho naamini kitakusaidia sana kufanya uamuzi mzuri. Kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA, sijui uko wapi lakini naamini kinapatikana sana katika maduka ya vitabu kote nchini. Maana huyo mtunzi amechambua kwa kina namna ya kumpata mtu makini na ambaye mtaishi naye kwa amani, ingawa matatizo lazima yatakuwepo madogo maana ninyi ni binadamu
 
Ndio maana ulaya waliruhusu ndoa za jinsia moja kuondoa mgongano wa mawazo! Wewe angukia kwa yoyote umpendaye ,ni ngumu kumfuraisha kila mmoja!
 
Kutojiamini tu wala hakuna lolote,
By the way hii experience umetoa wapi? Sana sana hapo kwenye maringo.
Mwisho, je unaamini katika 'umilele' 'wangu wa daima' kinda stuff? I don't, just curious!
 
Ndio maana ulaya waliruhusu ndoa za jinsia moja kuondoa mgongano wa mawazo! Wewe angukia kwa yoyote umpendaye ,ni ngumu kumfuraisha kila mmoja!

Kusuluhisha matatizo kwa kuyakimbia wala si mpango
Umewahi kuangalia muvi 'The Kids Are All Right'? (nadhani sijakosea taito) Itafute...
 
how old is usher raymond?his wife?
how old was bobby brown?his wife whitney?
how old is beyonce?his hubby?

age is nothing

Couldn't agree more
My mother married my father when he was in his early 50s and she was early twenties.
I don't think she regrets any moment
 
huo ushauri wa kuoana watu wa jinsia moja ni wa kishetani na aliyeutoa ana mtindio wa ubungo usiopona
 
<br />
<br />
we una akili? Ushaanza kunisaliti! Mh, nakupenda lakini sijiamini mpenzi wangu.
 
Acha anasa babii,penda then feel love hutoona chochote.
 
Age aint nothing but a number. Ila hata hiyo mme/mke mwema mtu hupewa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…