Njoo bitcoin wala usiogope mm pia nlikua nahofia lkini nmejiunga nmejionea mwenyeweNdugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba ushauri nitupie wapi kafedha kangu haka nliko nako mana nataka kazae angalau kidogo.ushauri wenu tafadhali.
Hii kitu nayo mbona ka siilewi hivi mana asilimia kubwa watu wanaipingaNjoo bitcoin wala usiogope mm pia nlikua nahofia lkini nmejiunga nmejionea mwenyewe
Asee ardhi itazalisha kweli au ndo kutunza fedhaNunua ardhi huko kote utalizwa
Ardhi inazalisha mkuu, hiyo tatu mzuka una guarantee nayo au unataka tuu kutusumbua baadae?Asee ardhi itazalisha kweli au ndo kutunza fedha
Kweli mkuu kuna hitajika upembuzi yakinifuArdhi inazalisha mkuu, hiyo tatu mzuka una guarantee nayo au unataka tuu kutusumbua baadae?
Ebwana hii crypto ndo niniInvest kwa crypto ila sio coin ya bitcoin
Elimu kidogo kuhusiana na hiz coin za ripple faida na hasara aseeAchana na bitcoins,tafuta cryptocurrency nyingine zinazochipukia kama kina ripple...
Sasa tatu mzuka nao ni uwekezaji?
Hyo hela bora ukatombee malaya kuliko kupeleka kokote kati ya huko ulipopatajaNdugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba ushauri nitupie wapi kafedha kangu haka nliko nako mana nataka kazae angalau kidogo.ushauri wenu tafadhali.
Duh, aiseeHyo hela bora ukatombee malaya kuliko kupeleka kokote kati ya huko ulipopataja