Hyo pesa kama ni kuanzia millioni nunua hata piki piki ufanye bodaboda, achana na hayo Makamari utakuja kufa kwa stress, wekeza sehemu inayoeleweka Hata Mungu atakubariki achana na Makamari hasa hizo pumba za bitcoin ndo usijaribu kabisaa matapeli hao Tanzania nzima hii hata Fremu hawana sasa wakikuibia sijui utalalamika wapi? Yani hyo kitu haitambuliki kisheria mkuu tuliza kichwa fanya cha maana ukishindwa hyo hela katoe sadaka kajisani