Niwekeze wapi na kwa nini?

Niwekeze wapi na kwa nini?

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
200
Habar yenu wakuu, hali ya ku manage pesa sio nzuri sana kwa upande wangu, yano pesa ikikaa bank lazima nika withdraw..ni kweli naiotea kidogo katika side hustle, staki kuwekeza mshahara...naomba mnisaidie niwekeze katka taasis gan ambapo ntakua naweza kuongeza kias kidogo kidogo kwa akaunt yangu....na kuwe na ugumu flani kwenye kuitoa

thanks
 
first to reply now...what a https://jamii.app/JFUserGuide
 
Karibu kwenye fursa hii ya mabadiliko ya uchumi ukiwekeza huko hauta pata shida tena mkuu
 
Nenda kawekeze TBL au Serengeti huko kuna fao la kujitoa muda wowote unaotaka wewe.
 
Back
Top Bottom