Habar yenu wakuu, hali ya ku manage pesa sio nzuri sana kwa upande wangu, yano pesa ikikaa bank lazima nika withdraw..ni kweli naiotea kidogo katika side hustle, staki kuwekeza mshahara...naomba mnisaidie niwekeze katka taasis gan ambapo ntakua naweza kuongeza kias kidogo kidogo kwa akaunt yangu....na kuwe na ugumu flani kwenye kuitoa
thanks