Miriamemmanuel
Member
- Jan 2, 2012
- 43
- 6
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante
kwakuwa ye ni mwanaume kama binti ahamie tu dar kwa huyo jimama.Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante
akifanya hivyo itansaidia-maana hata umiza tena kichwa chakeyeye moyo wake unampenda mwanamke gani kati ya hao wawili?asikilize moyo wake bila kujali material things kama pesa na vingine eboo
huyo rafiki yako unayemsema mbona ni wewe? Wewe si ndo umezaa na binti huyo halaf hujapata kaz bado? Cha kwanza tafuta kazi kwanza
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante
Mie ndo girlfriend wake,naombeni ushauri sasa