Niyonzima 100%,jina latumwa TFF

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Yule mido mchungu anayepiga pasi za kunyoosha kwa rula,sasa ni rasmi ametua Simba kama tetesi zilivyoeleza hapo awali!

Uongozi wa Simba umekamilisha taratibu na jina kutumwa TFF. Prof huyo wa Kirundi anatarajiwa kuungana na kikosi cha Simba "Taifa Stars" kilichoweka kambi South Afrika kwa ajili ya mechi za kirafiki kujiandaa na VPL

Asante sana
 

safi sana kampa kampa tena...Lazima tuwanyweshe SUPU YA MAWE NA KACHUMBARI YA MIIBA msimu huu..
 
Hii ina ukweli au ni habari za kuuzia magazeti??
 
Huyu Niyonzima c mrundi ni mnyarwanda kutoka hapo Chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kwa nini Simba tumemwacha Bokungu wakati Kapombe siku hizi ni mzee wa kuumia

Wakati mwingine huwa ni ngumu kuwaelewa hawa viongozi wa hivi vilabu vikubwa viwil linapofika suala la usajili. Kwa mfano unaanzaje kumuacha beki kiraka aliyetulia kama bokungu? Cha kuchekesha eti wanamng'ang'ania juma luizio wamsajili tena.

Si afadhali wamchukue kelvin kiduku au yule straika wa mtibwa rashid mandawa. Huyo luizio hana msaada wowote yeye na mavugo hamna straika pale wanabaki na nyavu wanapaisha inaudhi sana.
 
mmenunua mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani,,,,,,thamani yake $ 50,000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…