Niyonzima kurudi Yanga

Niyonzima kurudi Yanga

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari zenu kwa habari za kunyapianyapia zinasema yule fundi wa mpira kutokea kwa kagame Haruna Niyonzima aka Fabregas anatarajiwa kujiunga na timu ya Yanga kwa mara nyingine tena ndani ya siku 2 deal itakuwa imekamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niyonzima anajua mpira, Tatizo hajielew tuuuu..
 
Back
Top Bottom