MAKULILO Member Joined May 30, 2010 Posts 84 Reaction score 95 Oct 10, 2011 #1 Katika Mechi ya hivi karibuni, Niza Khalfan anayechezea Vancouver Whitecaps ya Canada, inayoshiriki Major League (MSL) alionesha kiwango kikubwa, kusababisha goli na pia kufunga goli zuri sana. Unaweza kuona video highlight hapa Vancouver Whitecaps FC vs Real Salt Lake : HIGHLIGHTS - YouTube MAKULILO
Katika Mechi ya hivi karibuni, Niza Khalfan anayechezea Vancouver Whitecaps ya Canada, inayoshiriki Major League (MSL) alionesha kiwango kikubwa, kusababisha goli na pia kufunga goli zuri sana. Unaweza kuona video highlight hapa Vancouver Whitecaps FC vs Real Salt Lake : HIGHLIGHTS - YouTube MAKULILO
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Oct 10, 2011 #2 Thanks kaka akaze boot atapata timu ulaya aachane na kulipwa dola 5,000 kwa mwezi hapo MSL