Njaa ikiwa kali uzalendo unapungua

Njaa ikiwa kali uzalendo unapungua

Davan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
1,125
Reaction score
1,413
Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu.
Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
 
Attachments

  • FB_IMG_16078627979928259.jpg
    FB_IMG_16078627979928259.jpg
    91.2 KB · Views: 1
Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu.
Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
Hapa mtu mwingine anajenga mpaka Nyumba maeneo hayo .
 
That's isn't a big deal kabisa
Tumahindi tuwili natwo twa kufungulia thread jamani, ingekua ni plantation heka 10 na zaidi it could make some sense
 
Njaa inaweza kupelekea ukala makof!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu.
Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
Hii itakuwa Dodoma, naona huo ni ulezi wa kupandikiza na miamba kwa mbaaali. Mazingira ya Dom kabisa hayo.
 
Back
Top Bottom