Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

sioni kosa.maana account ni yake Ana ruhiskwa kuweka akitakacho.
Hata wewe kwenye you tube yako unaweza ukapost chochote ila kisiwe matusi
 
Hata wewe mleta mada unaweza ukakuta kuku wanapandana.ukawarekodi ukatupia kwenye you tube yako.
Watu wakaangalia.
Au ukakuta watoto wanacheza ukawarekodi ukatupia.wakiangalia sawaa wasipoangalia sawaa.
You tube ni Kama Instagram au Facebook n.k
 
Usikute mwenzako anaposema Ulaya basi ndo anamaanisha kwa hao hao akina Ariana Grande!

Slowly, Wakati wewe unaponda usisahau Billboard walim-feature Diamond kupitia makala titled "How to Go Global On YouTube: Watch and Learn From Africa's Top Music Star". Kwenye article ile, kuna paragraph inasema "Western artists can learn from what African artists are doing, particularly the ones who have broken internationally,” says YouTube music trends manager Kevin Meenan." Kumbe wanaoambiwa wajifunze kutoka kwake ni hata hao uliowaita wa Ulaya!!!

Aidha wanaendelea: "For every [official] music video he has — and they are very high-production music videos, by the way — he might have anywhere from five to 20 or more song and nonsong content videos,that, for instance, could include documentary-style or behind-the-scenes footage.

Hicho ndicho wewe (Slowly) unaponda wakati walio kwenye industry wenyewe, tena huko huko "Ulaya" wanawaambia wenzao wa huko Ulaya wajifunze!!!
 
Hata wewe mleta mada unaweza ukakuta kuku wanapandana.ukawarekodi ukatupia kwenye you tube yako.
Watu wakaangalia.
Au ukakuta watoto wanacheza ukawarekodi ukatupia.wakiangalia sawaa wasipoangalia sawaa.
You tube ni Kama Instagram au Facebook n.k
Hapo kwenye kuku jogoo likiwa jeusi na mitetea ukiwa bado kifaranga lakin cheupe title inakua
black cock and white chicks
 
Kama naingiza pesa kwa kufanya hivyo basi mimi sioni tatizo, unataka afanye kama Card B wakati yeye ni Zuchu na anaishi bongo?
 
Ni kukosa ubunifu. At least hata wangeweka kwa mfumo wa reality show ingeleta maana fulani ila hizo content mahala pake ni insta stories
Hawana ubunifu hao ni hovyo tuu, Kwa hapa Ali kiba yupo smart ... Kwangu Mimi ni njaa Kali inawasumbua
 
Adele huwez kuta anafanya huo
Upuuzi , yeye ni official content Tu , video or some how audio , na still anagonga views billion kadhaa....
Huwez kuta Chris brown anafanya huo ukanjanja na still anascore vizur tuu...
Huko ni mbali hata Nigeria sdhan kama wanafanya huo utumbo ,....

Hapa bongo msanii ananunua mahindi tabata anatupia, hzo mambo watafanya mashabiki huko , bongo smartness ni hovyoo Sana ...
 
Brother inategemeana na brand au image ambayo mtu anataka kuwa nayo lakini amini tu, mtu anaetoa maisha yake sana nje ni rahisi kuwa na ushawishi mkubwa kwa watu sababu ya relevance

Wasanii wengi wa namna hii, kwao kupata endorsement za makampuni ama biashara zao kufanikiwa ni kugusa tu. Huu uchawi anao diamond na anautumia vizuri kuipush WCB hasa kwa social media na hii imemuhakikishia kuishi good life mwaka mzima hata asipotoa wimbo. Its all about MONEY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…