Njaa mwaka huu ni janga la Afrika masharikiHuko sasa kweli kuna njaa Mungu awajalie kila la kheri na uvumilivu wa hali ya juu,
Na huku kwetu kuna ukamataji wa wahusika na washukiwa wa madawa ya kulevya, watu wakishiba hujiburudisha, hujiliwaza na kujipumbaza kwa hiyo MIHADARATI.
Noma SanaView attachment 471178
nikubaya