Njaa miaka ya 1978 ilitokana na nini ?

Njaa miaka ya 1978 ilitokana na nini ?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Nimekuwa nikisikia miaka ya 1978 kulikuwa na njaa,je hiyo njaa kulikuwa hakuna mvua na ukame ulizidi
?au vita vya Uganda na Tanzania ndo sababu?au mfumo wa ujamaa wa Mwalimu Nyerere ulichangia?
Hebu wenye ufahamu mnisaidie maana enzi hizo wengine hatukwepo!
 
Back
Top Bottom