Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha maslahi yao njaa na madeni zinawaumiza ukizingatia ni kazi ngumu wakipitishwa tandale kwenye makande wengne huzubaa tu wanakosa hata shilingi 600 ipo siku mtu ata KUFA kwa kupondwa nguzo njaa ni HATARI kwa kazi hiyo