Njaa, ndio chanzo cha kila maamuzi

Njaa, ndio chanzo cha kila maamuzi

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Urafiki,Kuchukiana, Mpaka mke/ Mme ulie nae Yuko na wewe kwa sababu ya Njaa, ngoja siku akijipata Kiuchumi ndo utajua Ukweli Wa Rangi za huyo mwenza wako.

"Hata watu wanaokusifia mda wote, wao kukukosoa hawawezi kwa sababu ya Njaa, wakikukosoa wakose chakula"
 
Na ukiwa na vitita mfukoni, unaweza kushinda mpaka jioni bila kusikia njaa( kimoyo moyo nitakula baadae nitakula baadae mpaka jioni inafika hujagusa chochote ) .. 🙂
 
Mwanaume mwenye njaa akijipata ndo hatari zaidi kuliko mwanamke mwenye njaa aliyejipata
 
Kwenye Mke/Mme inategemea, Tho si kila ndoa ni Utapeli

Wapo watu wanaingia kwenye mahusiano wakimaanisha, Kwenye shida wanabebana na kuvumiliana like nothing.

Tatizo KE wengi wana IQ ndogo, Tamaa, Ushamba, Njaa na hivi ndo sababu iliyopelekea waungana wengi waamini ndoa ni Utapeli uliochangamka .
 
Back
Top Bottom