Njaa - Ukame - Njaa -Ukame; wimbo huu ni tangu Uhuru wa Kenya, tumeuchoka tuleteeni wimbo mwengine.

Njaa - Ukame - Njaa -Ukame; wimbo huu ni tangu Uhuru wa Kenya, tumeuchoka tuleteeni wimbo mwengine.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


Hali ya njaa huko Wajir imeanza kwa kasi kubwa. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mkenya kwasababu hali hii ni tangu "independence", pesa yote ya Kuchimba " dams" wamegawana wanasiasa.
 
Hilo wala si suala la kuumiza kichwa. Walime maeneo mengine au wanunue chakula mahali pengine hata nje ya nchi, halafu walishe kule kwenye uhitaji.
 
Meanwhile JPM anasambaza maji mpaka kwa wanyama kwenye maeneo ya wafugaji wanayokumbwa na ukame

Note, hili eneo Wakenya walikuwa wakiingiza mifugo yao kwa wingi sana kutokana na mipango mibovu ya serikali yao kwenye matumizi bora ya ardhi na ufinyu wa ufikiri wa viongozi kuhudumia wananchi wao

 
Hawa jamaa ni wazembe na tegemezi sana, hata Mtama ambalo ni zao linalostahimili ukame, pia wanatutegemea sisi
 
Back
Top Bottom