Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Baba Enock, heshima yako nimeishusha, yaani mkeo unamuita vuvuzela!!!!!!!!! khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! nilikuwa nasikiaga watu wanasema mitaani sasa hii ni live bila chenga, hebu futa jina hilo harakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Na kumbe una nyumba ndogo eeeeeee, jamani why!!!!!!!!!!!!!
Hapana ! hapana ! hapana !! Wengine wanaweza kufanya hivyo kikweli kweli. Msitoroke na pesa lipa tu ili demu akuheshimu.Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 22.Nenda nae kama kawaida 3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm6...............................Ha ha haaaaa dont try that at home pls.
Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,
1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 2
2.Nenda nae kama kawaida
3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana
4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu
5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm
6...............................
Ha ha haaaaa dont try that at home pls.
Mimi ninapokuwa na mahusiano (ya pembeni maana tayari nina vuvu.zela ndani) na msichana huwa najisikia kama anipenda asipo nipiga mizinga!!!
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.

Mkuu nitajiee dawa yaoDawa yao ndogo sana.....
watu wa aina hiyo wana uelewa mdogo maana kila ufanyacho lazima uamini kuna kesho
Anza kukataa kutumika kwanzia mwanzo....mtu anataka chips kuku sijui na vinywaji gani kila siku wakati kabla yako alikua anapata mara moja moja kwaa bahati??!
Haahhaha....asante mpenzi.Niunganishie kwa kaka/mdogo wako basi jamani....!Lizzy, sometimes nikisoma comments zako, I wish ningekuwa mwanaume, nikaleta posa kwenu!