Njaa ya Mabinti Bwana

Mi nikipigwaga hiyo mizinga yaani namlia timing tu,najua kahisa atalipia panapo shughuli mbona atakoma,ina maana yuko kunitumia na mimi kumtumia,maana kama kuna love hatanikamua hivyo so straight away najua huyu ni wa gemu tu na wananijua,akitoka hapo hana nye mwezi mzima na kukanda na barafu kabisa.
 
Ndo maana sitaki kuoa kwa sasa bora nimalize vyote kwanza nikikinai ndo nitaoa ,baba enock yaaninwe akili yako unafikiri kuna kichecje atampenda mume wa mtu kikwelikweli?ni kutumiana tu hapo
 

Yaani hiyo ilimtokea mtu akajikuta anosha vyombo vya hiyo siku na simu wakachukua ilikuwa bonge la aibu lol!!!!Hiyo tabia ni mbaya sana sana
 
Dawa ndo hiyo tu. Unamwacha aagize vya bei ya juu na huyo rafiki yake aliyekuja naye then unaweka simu sikioni na kusema hallooo, hallooo, sikusikii ngoja ntoke nje, ukitoka unasepa zako huku ukimwacha akivuliwa chupi na wengine ili wampe msaada. Unaagizaje vya bei ya juu bila kujua kama mwenzio ana hiyo hela? Umamletaje rafiki yako wakati umeitwa mwenyewe bila kujali uwezo wa mwenzio kumudu kikao husika? Kwa kuwa haya yote ni dalili ya mapenzi ya wizi, dawa ni kuwaachia bili halafu akikupigia unamwambie "nyie lipeni, nimepata dharura, tutaonana kesho". Kama hutasikia "please my sweet come, please, we are unable to pay, sweet please we are going to be embarased here" na wewe unamjibu "lipeni tu vya kwenu, mimi nilikunywa maji ya 500 tu, is not a big deal kwao". Au ukitaka kummaliza kabisa akikupigia simu wakati wanadaiwa bili, unarefusha mazungumzo mpaka hela iishe kwenye simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…