Njama ya awamu ya 5 ya kuunga mkono Juhudi yarejeshwa tena, Mlengwa mkuu ni viongozi wa Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro

Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa hapo mwanzo inatajwa kuwa ni kutokana n.a. kushindwa vibaya kwenye Ile kesi ya uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Tundu Lissu

Njama hiyo ya kishamba inaongozwa n.a kundi la Wanamtandao huku wakitumia hela za serikali

Bali jambo kubwa ni hili, Huwezi kuua Chadema kwa kununua mamluki wachache, Vinginevyo waweza kufa wewe mpanga njama kama alivyokufa Magufuli
 
Watashindana lakini hawatashinda.
 
Hakika
 
nonsense
 
Chadema ni IMANI kama ilivyo IMANI KATOLIKI ambayo serikali haiwezi kuiua!
 
Kuna kakikundi kadogo kanachojidai kuwa Tanz ni mali yao. Hivyo Watz wote wako chini yao. Kikundi hicho hakiamini ktk Katiba wala Sheria za nchi bali ktk nguvu ya dola. Masuala yote ovu yanasimamiwa na karatibiwa na kikundi hicho ikiwemo la ununuzi.

Wanaowanunua Wanachadema hasa viongozi siyo CCM kama chama bali ni hako kakikundi baada ya CCM kushindwa au kupoteza ushawishi majukwaani.

Kikundi kile pamoja na kuwa kiko nje ya CCM lkn hufanya hivyo kuhakikisha hakuna chama kingine kukamata dola zaidi ya CCM. Kwani wananufaika kupitia uongozi wa CCM. Hawakilindi au kukipigania CCM kwasababu wanakipenda hapana. Wanalinda maslahi yao binafsi.
 
Swadakta
 
Haya niliyasikia jasusi tv
 
Wasichokijua watanzania wanataka Chama pinzani cha kikweli chadema imefanikiwa kupata taswira hiyo kwa watanzania. Hivyo hata wakifanikiwa kumnunua Heche na Lissu bado haitasaidia itaonekana tu na wao walikuwa mamruki kama ilivyokuwa kwa Mbowe.

Watapoteza tu pesa zao bure
 
Itanishangaza kwelikweli kama ndani ya CHADEMA bado kutakuwemo na bidhaa za kununuliwa; mbali ya zilizo wazi toka mwanzo; kama kile kinyago kiitwacho Odero na yule Mwenyekiti wa Kanda; kule Mwanza.
Kuwanunua hawa ni sawa na kufuja pesa; lakini Samia anazo pesa za waarabu zisizompa shida yoyote.

Huyo wa Arusha ambaye hukumtaja, na ambaye pengine ndiye lengo la mada yako..., hawa ni wasio na akili nzuri.

CCM imekufa, utakwenda kufanya nini huko wakati huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…