Ninakubaliana na wewe hapa juu; ila kwa hili hapa chini ambalo ulilifurahia na kulipa 'like'; limenichanganya akili!Bali jambo kubwa ni hili, Huwezi kuua Chadema kwa kununua mamluki wachache,
Tundu Lissu aliyetoa hadi damu yake utaanzia wapi kumweka kwenye mizani ya bei ya kumnunua?Hivyo hata wakifanikiwa kumnunua Heche na Lissu bado haitasaidia itaonekana tu na wao walikuwa mamruki kama ilivyokuwa kwa Mbowe.
Wamechelewa sana!Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro
Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa hapo mwanzo inatajwa kuwa ni kutokana n.a. kushindwa vibaya kwenye Ile kesi ya uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Tundu Lissu
Njama hiyo ya kishamba inaongozwa n.a kundi la Wanamtandao huku wakitumia hela za serikali
Bali jambo kubwa ni hili, Huwezi kuua Chadema kwa kununua mamluki wachache, Vinginevyo waweza kufa wewe mpanga njama kama alivyokufa Magufuli
Wanatapa tapa!! Tanganyikans aren't fools!Kuna kakikundi kadogo kanachojidai kuwa Tanz ni mali yao. Hivyo Watz wote wako chini yao. Kikundi hicho hakiamini ktk Katiba wala Sheria za nchi bali ktk nguvu ya dola. Masuala yote ovu yanasimamiwa na karatibiwa na kikundi hicho ikiwemo la ununuzi.
Wanaowanunua Wanachadema hasa viongozi siyo CCM kama chama bali ni hako kakikundi baada ya CCM kushindwa au kupoteza ushawishi majukwaani.
Kikundi kile pamoja na kuwa kiko nje ya CCM lkn hufanya hivyo kuhakikisha hakuna chama kingine kukamata dola zaidi ya CCM. Kwani wananufaika kupitia uongozi wa CCM. Hawakilindi au kukipigania CCM kwasababu wanakipenda hapana. Wanalinda maslahi yao binafsi.
Uzi sio level yako uko juu ya upeo wako wa akili. Nenda kamwage sifa kwa bingwa bobezinonsense
tuliza kiwewe gentleman,Uzi sio level yako uko juu ya upeo wako wa akili. Nenda kamwage sifa kwa bingwa bobezi
don't panic gentleman,Nonsense is your mother's ass