Nje ndani sheria ya ndoa kwa mabint

Nje ndani sheria ya ndoa kwa mabint

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
999
Reaction score
272
Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote lakini kifungu cha 13 (2) kinaipa Mahakama mamlaka ya kufungisha ndoa baada ya maombi maalumu.
Mahakama inaweza kutoa kibali hicho endapo waombaji wamefikisha umri wa miaka 14 na Mahakama ikiridhika kwamba yapo mazingira maalumu yanayohitajika wenye umri huo kufunga ndoa.
“Vilevile kifungu cha 17 (1) kinampa fursa mtoto wa kike mwenye umri wa chini ya miaka 18, kupata ridhaa ya kuolewa kutoka kwa mzazi wake au mlezi wake endapo baba au mama watakuwa wamefariki,” .
Je uoni kwamba serikali ndio inachangia kuolewa kwa hawa mabint waliochini ya umri wa miaka kumi nane?
 
Back
Top Bottom