Kwa Viongozi wa aina ya Kina Ngeleja, sidhani kama tutakombolewa. Nchi zenye utajiri wa mafuta na gesi zimeishia kupigana vita. Mimi sina imani kabisa na hiyo gesi. Kama hatutapata kiongozi mzuri, ndo basi tena.
Simlaumu Ngeleja kwa uwaziri, ila nashangaa eti naye anataka Urais, hivi Ikulu imekuwa cheap kiasi hiki. Mtu umekuwa Mbunge for 4+ years eti na wewe unataka Urais. We need someone special.Mawaziri hata ukiwalaumu ni bure tu, wapo zaidi kisiasa. Watendaji ndiyo wakubebeshwa lawama, kuanzia Katibu Mkuu kuja chini. Waziri hawezi kufanya madudu ya ubadhirifu bila idhini ya au kumhusisha Katibu Mkuu na wahasibu wa wizara au idara husika- Kumbuka hilo.
Simlaumu Ngeleja kwa uwaziri, ila nashangaa eti naye anataka Urais, hivi Ikulu imekuwa cheap kiasi hiki. Mtu umekuwa Mbunge for 4+ years eti na wewe unataka Urais. We need someone special.
acha kuponda kila kitu,na wewe hebu jenga chako tuone kama utaweza nunua hataa mlango!...ignoranthiki CHUO CHA KATA ni moja ya vyuo vya ovyo kabisa kupata kuwepo hapa nchini.
Nasikia Mwigulu akisema anamshukuru Kikwete kwa uamuzi aliochukua kuhusu UDOM. Mimi nalidhani UDOM ilianza enzi za Mkapa na sio Kikwete. They are trying to justify 'Deni la taifa'. I think CCM is a living hell.
And this is a new one. I like it.​Originally...lilikuwa ni wazo la CHADEMA likilenga kuachana na uongo wa CCM wa kudanganya kuwa Dodoma ni au itakuwa Makao Makuu ya nchi, badala yake CHADEMA wakaangalia position na potentiality ya Dodoma waona inafaa kuwa Academic City/Centre hali ambayo ingeusaidia mkoa huo kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2005, akiwa Dodoma, mgombea urais wa CHADEMA Freeman Mbowe akatoa kauli kulingana ilani ya chama kuwa Dodoma itakuwa Academic Centre.
Mzee Kingunge aliwahi kukiri jambo hili wakati wa mkutano mkuu wa CCM.
​Originally...lilikuwa ni wazo la CHADEMA likilenga kuachana na uongo wa CCM wa kudanganya kuwa Dodoma ni au itakuwa Makao Makuu ya nchi, badala yake CHADEMA wakaangalia position na potentiality ya Dodoma waona inafaa kuwa Academic City/Centre hali ambayo ingeusaidia mkoa huo kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2005, akiwa Dodoma, mgombea urais wa CHADEMA Freeman Mbowe akatoa kauli kulingana ilani ya chama kuwa Dodoma itakuwa Academic Centre.
Mzee Kingunge aliwahi kukiri jambo hili wakati wa mkutano mkuu wa CCM.
Deni la Taifa lisikutie wasiwasi, utajiri tulio nao sasa na anaotuwachia Kikwete tunaweza tukakopa hata mara 1,000 ya deni tulilonalo sasa hivi na tusitetereke, mpaka sasa tuna cubic feet trillion 55 zilizovumbuliwa za Gas na utafiti unaendelea - Kumbuka hilo.
acha kuponda kila kitu,na wewe hebu jenga chako tuone kama utaweza nunua hataa mlango!...ignorant
Chuo cha Kata kweli usibishe....ni bora kusoma certificate ya Sua au Mzumbe kuliko degree ya Udom
Chuo cha Kata kweli usibishe....ni bora kusoma certificate ya Sua au Mzumbe kuliko degree ya Udom